Mawaziri watano wa Rais Samia wanuka utajiri wa kutisha, waogelea mabilioni ya shilingi

Wana hela hadi wanaogopa kufa yaani, Hela watamuachia nani?
pesa ni ya kutafuta kwa bidii na kunitumia vizuri ipasavyo my friends ladies and gentlemen,

vinginevyo utaishia umbea, porojo na story za pata potea mitandaoni, ati sijui nani ana pesa kiasi gani, huku umikenua meno tu na uvivu kama wote

you must work hard completely πŸ’
 
Na wale madaktari alitaka watu wajue kuwa alikuwa nao wengi tu lakini walishindwa kuzuia roho yake isitoke πŸ˜…πŸ™
 
Work hard like wabeba zege and wasukuma toroli Gentlemen !
Don’t work lazyly like the ones inside viyoyozi places Gentlemen !
Work so hard gentlemen ! Don’t forget that 😳 !
 
U
Utajiri sio dhambi
tajiri sio dhambi na wala sio muhimu sana kuwa nao isipokuwa dhambi ni pale unapoingia ulingoni ukiwa mutu ya kawaida tu then baada ya miaka mitano unakuwa kibopa wa kutupwa 😳
Hapo ndipo dhambi itakapoanzia 😳
Au nasema uongo ndugu zanguni ???!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…