Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana mkajiajiriwazee hawataki kustaafu
tusha jiajiri mda sanaaVijana mkajiajiri
Vijana wamepewa chances kwenye hizo nafasi?Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Kenya wazee tupu. Vijana wapo bize wanabet
Watafute sio kupewaVijana wamepewa chances kwenye hizo nafasi?
Kimfumo huwezi tafuta, wazee wanapeana kutwa, wana rotate watu wale wale, hao wazee walitafutaje?Watafute sio kupewa
Endelea kulalamaKimfumo huwezi tafuta, wazee wanapeana kutwa, wana rotate watu wale wale, hao wazee walitafutaje?
Hakika Hata Makamu Mwenyekiti tunaona faida yake. Ana hoja na utulivuIla wana faida kwa taifa
Tulia niwanyoosheHakika Hata Makamu Mwenyekiti tunaona faida yake. Ana hoja na utulivu
Mkutano wa Wakuu Afrika CHADEMA wanataka kuleta uhuniTulia niwanyooshe