Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Wataingia mahakani uku wanatembea ubataubataMkutano wa Wakuu Afrika CHADEMA wanataka kuleta uhuni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataingia mahakani uku wanatembea ubataubataMkutano wa Wakuu Afrika CHADEMA wanataka kuleta uhuni
Imekàa vizuri
Hao wazee wanapesa hapa huwezi kupata uongozi bila rushwa1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.
2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
,Ha ha ha ha haWataingia mahakani uku wanatembea ubataubata
Kuna chain ya kutafuna keki ya nchiKimfumo huwezi tafuta, wazee wanapeana kutwa, wana rotate watu wale wale, hao wazee walitafutaje?
Endelea kulia Lia. Vijana hamtaki vitu vigumu mnataka kupewa pewa tuHao wazee wanapesa hapa huwezi kupata uongozi bila rushwa
Unaendekeza misemo isiyo na uhalisia....Kuna chain ya kutafuna keki ya nchi
Itafika muda nasi tutakuwa na pesa hakuna namnaEndelea kulia Lia. Vijana hamtaki vitu vigumu mnataka kupewa pewa tu
Hiyi picha ukiliangalia kwa kina na kuitafsir ndio unapata jibu la maisha ya kufanikiwa
Nyie UWT tunawajua vizuri snUnaendekeza misemo isiyo na uhalisia....
Keki ya taifa inatafunwa na kila raia pale ALIPO NA ALIPOSIMAMA....
Kweli kabisa...Endelea kulia Lia. Vijana hamtaki vitu vigumu mnataka kupewa pewa tu
Acha uzushi wewe....mimi ni mwanachama wa UVCCM na si huo umoja wa wanawake Tanzania....Nyie UWT tunawajua vizuri sn
Afu tunataka connection yaan wakutoe kwenye gambe wakupe connection,,mwenye nacho ataongezewaKweli kabisa...
Hatutaki vitu vigumu....tunapenda kubeti na gambe sifa.....
Mkuu unaukana umoja wenu? bora ya Lucas Mwashambwa yeye huwa hakani umoja wenuAcha uzushi wewe....mimi ni mwanachama wa UVCCM na si huo umoja wa wanawake Tanzania....
Wengi wetu hatujitambui....tunazitambua connections za "bata" tu...Afu tunataka connection yaan wakutoe kwenye gambe wakupe connection,,mwenye nacho ataongezewa
Lucas niko naye UVCCM tunajifunza uzoefu mkubwa alionao mzee wetu kamarada Wassira...Mkuu unaukana umoja wenu? bora ya Lucas Mwashambwa yeye huwa hakani umoja wenu
Lucas yupo UWT na ni Katibu Mahtasi wa UWT ChunyaLucas niko naye UVCCM tunajifunza uzoefu mkubwa alionao mzee wetu kamarada Wassira...