Mawaziri watu wazima (Wazee) iwe funzo kwa vijana

1. Natazama Mkutano wa Africa Energy Summit mawaziri toka Zambia, Nigeria, Ivory Coast, Afrika Kusini na Kenya wazee tupu.

2. Vijana wapo bize wanabet wengine wanapakazana uchafu tu. Inasikitisha
Hao wazee wanapesa hapa huwezi kupata uongozi bila rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…