Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

Mawaziri wote tunawajua hadi uwezo wenu, ebu acheni kujiaibisha

Upekuzi101

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
221
Reaction score
542
Mawaziri wetu, wabunge na watu wa Serikali embu sasa acheni kulala usingizi wa kizembe, simameni kwenye nafasi zenu mumsaidie mama Samia jamani.

Mmeshakoroga kubalini kurudi mezani, wale watu wote mliowaona wanapinga Mkataba kwa fact Waite I mezani mjadili msaidimane mawazo na mfanye jambo kwajili ya Tanzania.

Muungwana akivuliwa nguo huchutuma, sasa nyie naona mnataka kuruka sarakasi tena, sijui mnatak tuone nini tena ambacho hatujakiona kwenu.

Sauti mnazosikia ndio sauti halisi za watanzania, sasa nyie endelezeni ubishi na umwamba
 
Back
Top Bottom