Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

Mawazo binafsi: Kwanini Tanzania tusiahirishe Uchaguzi Mkuu wa 2025 hadi mwaka 2026 ili kupata Katiba mpya?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Serikali imepanga kutoa elimu ya katiba.

Inaonyesha hadi mwaka 2025 katiba Mpya itakuwa haijapatikana kwa sababu elimu itakuwa inaendelea kutolewa.

Sasa, kwanini Uchaguzi Mkuu usiahirishwe Ili ufanyike mwaka 2026 tukiwa na katiba Mpya?
 
Back
Top Bottom