Haroonricher
Member
- Jan 15, 2020
- 37
- 19
- Thread starter
- #61
Kwanza nikushukuri sana kwa kwa kunipa uzi wenye kunipanua mawazo zaidi..Naomba nikaupitie huo uzi then nitarudi kwako....sawa mkuu nimekuelewa,kuna uzi nimekutag wa maswala ya mobile money...ukipitia ule uzi unaweza jifunza kitu...kama niliona umesema upo mbeya...ukipambana pale kabwe stendi ukapata chumba hii mitaa yenye mzunguko mkubwa wa watu or ukipata chumba huku mwanjelwa sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu utapiga hela...issue ni kupata chumba tu,and sehemu kama iyo unafungua duka kubwa sana la simu vikienda sambamba na hizo huduma..but hakikisha ofisi una i design inakuwa na muonekano classic wa pekee
JOKES...Hakikisha kwenye ilo duka kama utakuwa na wafanyakazi unaajiri vitoto vyakike vizuri but smart kichwani kwa ajili ya kukusaidia kwenye mauzo
Kuhusu watoto wazuri na smart kaka siyo Jokes,, aiseee kwa biashara zinazohitaji issue ya marketing hao ni Muhimu hivyo pia umetoa mbinu mbadala ya ku catch minds za wateja..