Mawazo na Msaada juu ya hali ya mpenzi wangu

Tofautisha kuhurumiwa na kupendwa, kwa maelezo ya huu uzi wako huenda demu anakuhurumia na sio anakupenda.

Ni kweli anaona jitihada zako, na kweli labda una jitihada za kutosha ila ndo ivo sasa hana hisia na wewe.
Kulingana na kwamba ulimbikiri na bado unahenyeka nae basi hana budi kukuhurumia.

Lakini kumbuka "Huruma na uvumilivu vina mwisho" akili kichwani mwako.
 
Huyo mdada anaweza akawa na tabia labda yakujichua mwenyw, so kama kuna vtu huwa anajiingizia au amewahi kufanya hiyo michezo bas dudu hawezi kulifeel hata kdg, na either alikua anafanya na kaacha so hiyo ikawa side effect au pia labda ww ndo hujui Angle zake za utamu
 
Ahsantw boss hii imenisaidia katika kuchukua hatua
 
Ahsante nas
 
If ni ishu ya angle zake za tamu, unanishaueri nichukue hatua ipi
 
Akufungukie kwamba sehemu zipi, au akifanywa vipi anapenda, mfano nahs asilimia kubwa ya wanawake wanapagawa sana pale ambapo unakua unaf**k huku unamnyonya chuchu zake, try hiyo kwanza
Ananyonyesha mtoto ahaha

Ila umenipa idea nzuri mkuu, ngoja nitamuuliza huku nikiwa nakuwa creative kidogo ili nipate wapi pa panapomkuna
 
Hata mimi nilikuaga na demu wa hivo.

Nikishamgonga tukimaliza pale bado tumejilaza anasema hana hisia kabisa. Anajilazimisha tu.

Nilikwambia turudie anasema hajisikii.

Nikampiga chini.
Kwani ulimpiga chini, kwan na ww ulikua hufiki?
 
Amekeketwa huyo
 
Solution ni moja tu Hormones zake zipo chini hivyo zinahitaji stimulant ili arudi normal...Hapo tafuta SUPPLEMENTS za BF SUMA dozi nzima anatumia two weeks then utanipa matokeo...Japo ni Ghali sana.
 
Solution ni moja tu Hormones zake zipo chini hivyo zinahitaji stimulant ili arudi normal...Hapo tafuta SUPPLEMENTS za BF SUMA dozi nzima anatumia two weeks then utanipa matokeo...Japo ni Ghali sana.
Thqnks mkuu,

So hii dose ni ya mara moja?

Pia ni bei gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…