Mawazo na Msaada juu ya hali ya mpenzi wangu

Mawazo na Msaada juu ya hali ya mpenzi wangu

Tofautisha kuhurumiwa na kupendwa, kwa maelezo ya huu uzi wako huenda demu anakuhurumia na sio anakupenda.

Ni kweli anaona jitihada zako, na kweli labda una jitihada za kutosha ila ndo ivo sasa hana hisia na wewe.
Kulingana na kwamba ulimbikiri na bado unahenyeka nae basi hana budi kukuhurumia.

Lakini kumbuka "Huruma na uvumilivu vina mwisho" akili kichwani mwako.
 
Huyo mdada anaweza akawa na tabia labda yakujichua mwenyw, so kama kuna vtu huwa anajiingizia au amewahi kufanya hiyo michezo bas dudu hawezi kulifeel hata kdg, na either alikua anafanya na kaacha so hiyo ikawa side effect au pia labda ww ndo hujui Angle zake za utamu
 
Nje ya box.
Kwa ninavojua, uke wa mwanamke hua una sehem ambapo ni sensitive zaidi kwa ndani. Japokua general.knowldege ni kwamba uke upo kama cylinder (samahani) lakini humo ndani kuna point ikiguswa mwanamke anajiskia tofauti kabisa.
Most men tunaamini katika kupump tu huko ndani, bila kujitahidi kutafuta hizo spot.
Mkuu, jitahidi unavopiga mashine, usiende kama msumeno yaan nje ndani. Jitahidi kupaka rangi, kukwangua ukoko n.k.
Hakikisha unagusa kila kona ya ndani ya punani ya manzi ako.
Pia be conscious ya mabadiliko yake hasa kwenye miguno, facial expression, kupumua, anavokushika n.k. if u do this, utanotice kuna sehem ukigusa anabadilika kabisa. Sasa ukishaipata, hakikisha mara kwa mara unapasabahi. Utaona kama atasema hapati hisia tena.
Yote haya ni ubatili kama hakupendi au kashakuchoka au kama kuna limjamaa linamtwanga vilivyo.
Akili kumkichwa!
Ahsantw boss hii imenisaidia katika kuchukua hatua
 
A M E K U C H O K A

Jaribu kubadilisha location na mikao,,,style kama Mjomba nchumali,, popo kanyea mbingu, Mwamposa zihusike sana..

tofauti na hvyo may be ndio ameanza kukupa red flag ili usiwe suprised hapo mbele kidogo atakapo kupiga na kitu kizito...


Hizi ni Opinions zangu tu....kuwa Makini Mkuu
Ahsante nas
 
Huyo mdada anaweza akawa na tabia labda yakujichua mwenyw, so kama kuna vtu huwa anajiingizia au amewahi kufanya hiyo michezo bas dudu hawezi kulifeel hata kdg, na either alikua anafanya na kaacha so hiyo ikawa side effect au pia labda ww ndo hujui Angle zake za utamu
If ni ishu ya angle zake za tamu, unanishaueri nichukue hatua ipi
 
Akufungukie kwamba sehemu zipi, au akifanywa vipi anapenda, mfano nahs asilimia kubwa ya wanawake wanapagawa sana pale ambapo unakua unaf**k huku unamnyonya chuchu zake, try hiyo kwanza
Ananyonyesha mtoto ahaha

Ila umenipa idea nzuri mkuu, ngoja nitamuuliza huku nikiwa nakuwa creative kidogo ili nipate wapi pa panapomkuna
 
Hata mimi nilikuaga na demu wa hivo.

Nikishamgonga tukimaliza pale bado tumejilaza anasema hana hisia kabisa. Anajilazimisha tu.

Nilikwambia turudie anasema hajisikii.

Nikampiga chini.
Kwani ulimpiga chini, kwan na ww ulikua hufiki?
 
Habarini,

Tangu mwanzo nilipomtoa bikra, its one year and a half. Tunapofanya romance naye kabla ya sex (kushikana, kissing) anapata hisia kubwa tu, lakini tunapofanya penetration mara nyingi (sio mara zote) tukimaliza ananiambia huwa hapati hisia yoyote au ya kutosha.

Nikimuuliza kuwa awe honest kama sijafanya vya kutosha ili tuendelee, ananiambia umeenda sawa na pia anasema amechoka na inatosha. Maybe ni mimi siwezi kazi, lakini kabla ya hapo wapenzi niliowah kudate niliwalidhisha katika tendo. Hili jambo linamuumiza coz anaona jitihada yangu kitandani, lkn yeye amekuwa empty. Na huyu mtoto anaonesha kunipenda sana na mimi sitak awe mnyonge.

Vp hii hali ni ya namna gani, tutasaidake, je ni la kiafya zaidi, saikolojia, kutorodhishana, etc

Nisaidie kwa mema na sio kejeli.
Amekeketwa huyo
 
Solution ni moja tu Hormones zake zipo chini hivyo zinahitaji stimulant ili arudi normal...Hapo tafuta SUPPLEMENTS za BF SUMA dozi nzima anatumia two weeks then utanipa matokeo...Japo ni Ghali sana.
 
Solution ni moja tu Hormones zake zipo chini hivyo zinahitaji stimulant ili arudi normal...Hapo tafuta SUPPLEMENTS za BF SUMA dozi nzima anatumia two weeks then utanipa matokeo...Japo ni Ghali sana.
Thqnks mkuu,

So hii dose ni ya mara moja?

Pia ni bei gani mkuu?
 
Back
Top Bottom