Mawazo tu

Mawazo tu

Joined
Jul 6, 2024
Posts
97
Reaction score
72
Waafrika tunatengenezewa Ufukara wa kulazimishiwa na kutishwa tishwa ili wachache walioamua kuishi maisha ya Anasa kwa Jasho la mafukara wasihojiwe lolote.

Na mbaya zaidi wanazidi kuwaza mbinu za kuzidi kumfunya fukara awe fukara kwa kumuwekea viaongozi watokanao na safu wasiokuwa na msaada Wala faida kwa nchi.

Akina ndiyo na Kisha kuwalinda kwa udi na uvumba

Unafiki Mtupu kuonyesha meno meupe huku roho zikiwa nyeusi na hazina dhamura njema kwa mafukara kwa kujifanya wanazifumbia macho kanuni za kuwawajibisha Viongozi wanaonuka wasiotakiwa na Mafukara kuwa Katika Vyeo walivyo navyo walivyo vipata kimaghumashi
 
Back
Top Bottom