2v1
JF-Expert Member
- Mar 28, 2024
- 247
- 358
- Thread starter
- #21
Nimefuta sana ila narudia tena kudownload tena, shida kupata kitu cha kuniweka busy
Daah pole sana asee, unapaswa kufuta kama ni apps au site zote zinazokufanya u access hizo mambo na usijaribu tena kabisa kuzitaka.
Pia tafta vitu vitakavyokufanya uwe bize mfano reading, movies and football, kwenye football tafta uwanja kabisa wanapofanya mazoezi wadau anza kusakata kabumbu ukirudi baadae home upo hoi wala hutawaza huo ujinga brother.