Kwanza kutoshiriki mapenzi sio kosa labda ujilaumu,,kwa umri huo ni vizur ukajilinda mpaka pale utakapo amua kuwa na mwenza rasmi
Shida ipo kwenye porno,,tena ni shida kubwa sana,sehemu ya madhara ambayo utayapata ukija kuwa na mwenza ni kuwa utakosa hisia kwake mpaka ukumbuke picha za kwenye porno,,yaani mtoto yupo mbele yako lkn mzuka hauji kabisa mpaka uvute picha uliyoiona katika porno
Pili,kumwaga fasta ni sekunde tu,kwasababu porno inakujenga au inafanya ubongo wako ujenge taswira ya kukojoa fasta kutokana na hisia unazo zipata unapo angalia porno
Porno inaenda sambamba na masterbation,,una hatar kubwa ya kuua mishipa midogo midogo katika uume wako na kuufanya uwe legelege na usio na nguvu kabisa,,hapo uanaume wako una sema thank you hivi hivi
Pambana na huo uraibu,kwanza tafuta app ambazo zinakuwezesha kutoruhusu simu yako kuonyesha porn
Pili tafuta kitu mbadala kwa maana pale unapojisikia kutaka kuchek porn basi unashift mind yako kwa kufanya jambo lingine,,na usipende kukaa peke yako kwakuwa ukiwa peke yako tu ndio zile hisia zitakujia na kukushinda nguvu
Kila la kheri