Mawazo ya biashara

Mawazo ya biashara

ni sehemu hipi nzuri kwa hii biashara?
Kama nilvyokwambia hapo juu, eneo ambalo ndio linachangamka, ndo huwa na vigrocery na bar nyingi nyingi.

Maana hizi bar kubwa huwa wanaletewa na wale suppliers wakubwa au direct kutoka kiwandani kabisa.

Ko we fanya tafiti kwa mkoa ulio na uzoefu nao mkuu.
 
Fungua microfinance kwa wajasiriamali wadogowadogo,au iweke kwenye bureau de change zimesharuhusiwa tena,kazi kwako,money business pays
 
Mkuu habari?
Jambo lako limekuwa na ufinyu wa taarifa za msingi za awali.
Umekuwa nje kwa muda na mambo mengi umekuta yamebadilika, ni sawa lakini tunaamini huko nje wewe umepata exposure zaidi huku kwetu ungeweza kuona cha kufanya ukiwa na mtaji mzuri kwa huku 150 milioni.

Ungeeleza kidogo background yako kama una uzoefu wa biashara, na biashara zenyewe kama ni kubwa au ndogo.
Mapendeleo yako yanaangukia katika shughuli zipi za kiuchumi. Biashara zipo za kila aina hata nyingine hauwezi kuzijua, na ukizijua unakuta jinsi zinavyofanyika mpaka ukutane na walio ndani.

Vinginevyo mkuu, watu makini watasita wanaweza fikiri hauko serious.
Kiujumla jumla naweza kukwambia ufanye utafiti katika biashara zinazohusiana na Chakula, Ujenzi,Madawa hizo ndio sehemu raia wengi tunatumia karibia asilimia 70 ya vipato vyetu vya 'kinyonge'.
 
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.

Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.

Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo

Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
Kwanza Biashara ukianza inatakiwa usianze na mtaji mkubwa wa kiasi icho.
Biashara nzuri ya kufanya ni hii ya kuuza mazao nje ya nchi mm nipo mpakani na Kenya ndo biashara nafanya na inalipa vizuri sana kama ukiweza ingia uko utafanikiwa sana
 
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.

Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.

Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo

Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
1. Dawa na bifaa tiba,
2. Sekta ya chakula kwa ujumla wake.
3. Sekta ya elimu
4. Usafiri na usafirishaji
 
1.Fungua pharmacy
2.kama unapenda stress fungua microfinance
3.nunua mazao na uuze badae
4. Duka la nafaka (mchele, maharage nk)
5.tafuta kaeneo uuze mayai ya kisasa kwa jumla (ukinunua from shamba
6.fungua ka kampuni ka kuagiza magari nje ukiwa na ki(showroom )
 
Asante sana kwa mawazo but ipi ni bora zaidi kati ya izo?
 
Nakushauri Fanya biashara ya restaurant,
Uza vyakula vikavu ,,,,
Kama
Chips
Burger
Kuku crunch,
Bites
Fresh Juice Tu!
Vitu vya kuzngatia ni kama
Eneo lenye watu wengi na parking iwepo baasi. Ubunifu mzuri wa kisasa wa ofisi.
Biashara ya restaurant ni nzuri inafaida kubwa ila inatakiwa uwepo na kuhakikishe ubora unaendelea kuwepo na location lakini hii haihitaji 150m
 
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.

Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.

Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo

Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
Kabla hujafanya biashara yoyote lazima ujue kwa kufanta utafiti kama wengine hawafanyi utahitaji ghrama za kuelimisha jamii kuhusu bidhaa yako
kwa kuanzia unahisi million ngapi itatosha?
swali gumu kwa maana lazima ufanye utafiti aina ya wateja unao walenga na nguvu za waoinzani wako na mapungufu yao
 
Back
Top Bottom