Mawazo ya biashara

Mawazo ya biashara

Kama nilvyokwambia hapo juu, eneo ambalo ndio linachangamka, ndo huwa na vigrocery na bar nyingi nyingi.

Maana hizi bar kubwa huwa wanaletewa na wale suppliers wakubwa au direct kutoka kiwandani kabisa.

Ko we fanya tafiti kwa mkoa ulio na uzoefu nao mkuu.
Biashara ya bia usipange hakikisha unapata eneo lako kwasasa inasumbua japo inategeme na location fanya utafiti kwanza na kuandika andiko la biashara , (business plan), fanya makosa kwenye makaratasi
 
Hiyo ni biashara kichaa
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu
 
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu pia biashara ni watu na aina ya wafanyakazi na wewe mwenye, (PEC'S) Pesonal entrepreneurial competences well defined as traits. and entrepreneurship skills
 
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu
Hiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya bar
 
KAM uko serious nitafute nikupe draft ya biashara ya pharmacy.
 
Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.

Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.

Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo

Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
Huu mtaji unatosha kuanzisha kiwanda cha kati au kidogo.

Fungua Kiwanda cha utengenezaji wa juisi ya miwa. Hiki ni kinywaji pendwa sana maeneo mengi ya miji ikiwepo Dar, however so far it is locally produced and sold.

Ajiri watu sahihi (eg. Food scientist and nutritionist)

Wekeza katika matangazo, utapiga ndefu sana kwa hii biashara.View attachment 2667316
images%20(29).jpg
 
Hiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya bar
Hata hivyo ukitaka kufanya biasahara yoyote ile nilazima uijue hiyo biashara kwa undani kufanya utafiti wa soko nakuwatambua wapinzani wako nguvu zao na mapungu yao, baada ya hilo jipambanue mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako pia unatakiwa uwe na tabia za mjasiriamali kama huna hata moja huwezi kufanikiwa kufanya biashara yoyote ile
 
inakuwaje hii business ndugu yangu nipe abc labda naweza jikita huku
nenda pale Muhimbili tafuta graduators mmoja wa pharmacy siku ya mahafali fanya nae biashara atakupa abc zote au tafuta mfamasia yoyote ambaye ana degree na vyeti vyake havija-be booked
 
Back
Top Bottom