Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
sasa unaogopa kuingiza million 2 kwa siku kwa sababu ya kumlipa mtu million moja kwa mwezi mzimaShida mshahara wa mfamasia huwa nasikia inakuwa milion je ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa unaogopa kuingiza million 2 kwa siku kwa sababu ya kumlipa mtu million moja kwa mwezi mzimaShida mshahara wa mfamasia huwa nasikia inakuwa milion je ni kweli?
sasa unaogopa kuingiza million 2 kwa siku kwa sababu ya kumlipa mtu million moja kwa mwezi mzima
fanya biashara ya pharmacy utakuja kutushukuru mimi na jamaa aliekushauri huko juu that manzi na Stratopause
Biashara ya bia usipange hakikisha unapata eneo lako kwasasa inasumbua japo inategeme na location fanya utafiti kwanza na kuandika andiko la biashara , (business plan), fanya makosa kwenye makaratasiKama nilvyokwambia hapo juu, eneo ambalo ndio linachangamka, ndo huwa na vigrocery na bar nyingi nyingi.
Maana hizi bar kubwa huwa wanaletewa na wale suppliers wakubwa au direct kutoka kiwandani kabisa.
Ko we fanya tafiti kwa mkoa ulio na uzoefu nao mkuu.
inakuwaje hii business ndugu yangu nipe abc labda naweza jikita huku
Usimpotoshe mwenzioBiashara ya restaurant ni nzuri inafaida kubwa ila inatakiwa uwepo na kuhakikishe ubora unaendelea kuwepo na location lakini hii haihitaji 150m
hapo nimempotosha niniUsimpotoshe mwenzio
Hiyo ni biashara kichaahapo nimempotosha nini
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvuHiyo ni biashara kichaa
kuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu pia biashara ni watu na aina ya wafanyakazi na wewe mwenye, (PEC'S) Pesonal entrepreneurial competences well defined as traits. and entrepreneurship skills
Hiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya barkuna mdau kapendekeza restaurant ndiyo maana nimemwambia ni biashara nzuri ila unatakiwa uwepo na inahitaji mtaji wa kawaida inategemea eneo, (location), hapa morogoro kuna mfanya biashara hajawahi kufunga milango ya biashasha yake inafanya masaa 24 ina miaka zaidi ya 7 pale msamvu
Asante sana kwa mawazo but ipi ni bora zaidi kati ya izo?
Huu mtaji unatosha kuanzisha kiwanda cha kati au kidogo.Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.
Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.
Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo
Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
Hata hivyo ukitaka kufanya biasahara yoyote ile nilazima uijue hiyo biashara kwa undani kufanya utafiti wa soko nakuwatambua wapinzani wako nguvu zao na mapungu yao, baada ya hilo jipambanue mwenyewe nguvu zako na mapungufu yako pia unatakiwa uwe na tabia za mjasiriamali kama huna hata moja huwezi kufanikiwa kufanya biashara yoyote ileHiyo biashara ya mgahawa ina upepo wake haina tofauti sana na biashara ya bar
nenda pale Muhimbili tafuta graduators mmoja wa pharmacy siku ya mahafali fanya nae biashara atakupa abc zote au tafuta mfamasia yoyote ambaye ana degree na vyeti vyake havija-be bookedinakuwaje hii business ndugu yangu nipe abc labda naweza jikita huku
Bora bureau de change kukopesha inabid ni biashara pasua kichwaFungua microfinance kwa wajasiriamali wadogowadogo,au iweke kwenye bureau de change zimesharuhusiwa tena,kazi kwako,money business pays
Hii nzuri Sana aisee akipata eneo zuriNursery school nafikiri ni wazo zuri.