Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Kama nilvyokwambia hapo juu, eneo ambalo ndio linachangamka, ndo huwa na vigrocery na bar nyingi nyingi.ni sehemu hipi nzuri kwa hii biashara?
Kwa mtu asiyesomea mambo ya afya si itakuchukuli pesa sana?
Si una ajiri waliosoma mkuu wewe unakuwa unasimamia nakufatilia biashara yakoKwa mtu asiyesomea mambo ya afya si itakuchukuli pesa sana?
Shida mshahara wa mfamasia huwa nasikia inakuwa milion je ni kweli?Si una ajiri waliosoma mkuu wewe unakuwa unasimamia nakufatilia biashara yako
Kwanza Biashara ukianza inatakiwa usianze na mtaji mkubwa wa kiasi icho.Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.
Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.
Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo
Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
Mleta mada azingatie hiiFungua phamarcy i lkubwa na ya kisasa eneo lililochangamka utakuja nishukuru baadaye
1. Dawa na bifaa tiba,Habari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.
Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.
Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo
Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
1.Fungua pharmacy
2.kama unapenda stress fungua microfinance
3.nunua mazao na uuze badae
4. Duka la nafaka (mchele, maharage nk)
5.tafuta kaeneo uuze mayai ya kisasa kwa jumla (ukinunua from shamba
6.fungua ka kampuni ka kuagiza magari nje ukiwa na ki(showroom )
1. Dawa na bifaa tiba,
2. Sekta ya chakula kwa ujumla wake.
3. Sekta ya elimu
4. Usafiri na usafirishaji
Biashara ya restaurant ni nzuri inafaida kubwa ila inatakiwa uwepo na kuhakikishe ubora unaendelea kuwepo na location lakini hii haihitaji 150mNakushauri Fanya biashara ya restaurant,
Uza vyakula vikavu ,,,,
Kama
Chips
Burger
Kuku crunch,
Bites
Fresh Juice Tu!
Vitu vya kuzngatia ni kama
Eneo lenye watu wengi na parking iwepo baasi. Ubunifu mzuri wa kisasa wa ofisi.
Biashara ya restaurant ni nzuri inafaida kubwa ila inatakiwa uwepo na kuhakikishe ubora unaendelea kuwepo na location lakini hii haihitaji 150m
Nursery school nafikiri ni wazo zuri.
Na inabakihuo mtaji utatosha kweli?
Na inabaki
Kabla hujafanya biashara yoyote lazima ujue kwa kufanta utafiti kama wengine hawafanyi utahitaji ghrama za kuelimisha jamii kuhusu bidhaa yakoHabari zenu wana JF, Naamini wote ni wazima wa afya.
Mi ni kijana mpambanaji na kwenye harakati za utafutaji nikajikuta niko nje nchi na ni mda sasa tangu nilipotoka tz, Mungu amesaidia nimekusanya 150M ambazo napenda kuwekeza lkn kwa sababu nimekaa nje kwa mda mrefu sasa na mambo mengi yamebadilika.
Nilikuwa naomba ndugu zangu ni biashara ipi ambayo naweza nikaanza na huo mtaji na ikanitoa( 150M) naamini kuna watu wana mawazo mengi na mazuri lkn hawaja jaliwa kuwa na mitaji na kuna wengine wameanza lakini si kwa ukubwa wanao utaka kutokana na mitaji yao. karibuni kwa mawazo
Nb: kwa atakaye leta wazo nzuri na nikalipitisha tutafanya kazi pamoja au kulinunuwa kabisa wazo lake. Asanteni na karibu kwa mawazo
swali gumu kwa maana lazima ufanye utafiti aina ya wateja unao walenga na nguvu za waoinzani wako na mapungufu yaokwa kuanzia unahisi million ngapi itatosha?