Mawazo ya kibiashara,!

Mawazo ya kibiashara,!

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Rejea mada tajwa hapo juu.
Kunekuwa na wimbi la watu Kadhaa wenye mitaji lakini wanHitaji mawazo ya biashara,mada ya leo inalenga kujadili moja wapo ya wazo la biashara linaloweza kuwafaa wengi.
Zipo namna kadha za kumsaidia mtu kupatA mawazo ya biashara,njia hizo ni Kama zifuatazo:-
-kuhudhuria ktk maonesho ya biashara (trade fairs)
-kuchuka faida(advantage)ya kero husika ktk eneo lako
Hizo ni miongoni mwa njia za kupata mawazo ya biashara,lakini pia zipo njia nyingine pia,tukipata fursa nyingine tutajadili pia.
Leo nataka tuzungumzie biashara ya (dried fruits/vegetables) matunda na mboga za kukaushwa.
Kwa baadhi yetu inaweza kuwa ngeni lakini ni biashara nzuri kwa mazingira ya Tanzania ,zipo machine za kisasa na traditional za kufanya biashara matunda yanayoweza kukaushwa ni mengi tu kuanzia banana,nanasi,papai n.k wanaoishi Dar es salaam wanatambua namna gani matunda kama nanasi yanavyokuwa wasted wakati wa msimu,lakini pia kwa wakulima wanakazimika kuuza mazao(matubda) kwa bei ya chini kwa kuogopa yasiharibike.
Machines hizi zinapatikana na mtu mwenye mtaji wa kuanzia 10 million na kushuka chini hata laki tano aweza kufanya biashara hii,hii ni namna ya kutunza matunda au kuyaongezea thamani bila kutumia kemikali kwa hiyo ni biashara amabayo inakubarika na ulimwengu wa sasa unaoambatana na magonjwa ya saratani kutokana na kemikali za viwandani,ktk super markets nyingi za ulaya biashara hii inakua kwa hapa nyumbani sijajua hali hailsi.
Masoko ya na matunda yaliyokaushwa ni kubwa hapa nyumbani,mashariki ya kati na hata ulaya,tusiache kuendelea kuona matunda yakioza hii ni furs a kubwa.
All the best,mtanisamehe nimeandika kwa ufupi,
"Victory loves preparation"
 
Vizur mkuu kwa hii mad yk! Nlikuwa na wazo kama hili nilitaka kuwasilisha hapa jamvini. Nahitaji kuanza kukausha nyanya maji za kuunga ktk mboga ila nilikuwa nimekwamishwa nasuala la hii mashine. Naweza kupata mashine ya kazi hii kwa bei gani mkuu?
 
Vizur mkuu kwa hii mad yk!
Nlikuwa na wazo kama hili nilitaka kuwasilisha hapa jamvini. Nahitaji
kuanza kukausha nyanya maji za kuunga ktk mboga ila nilikuwa
nimekwamishwa nasuala la hii mashine. Naweza kupata mashine ya kazi hii
kwa bei gani mkuu?
Ngoja nitizame vyanzo vyangu nitakujulisha shortly!
 
Nina wasiwasi kama wabongo watapenda kula matunda yaliyokaushwa na hali yaliyo fresh yamejaa sokoni.
Nafikiri biashara hii ni nzuri kwa soko la nje, bongo nina wasiwasi.
 
Tunasahau kitu kimoja kwamba,matunda ni ya msimu Fulani yakitengenezwa hivyo yatatumika kipindi msimu wa tunda husika umeisha,watu wanatumia juice za kemikali Wakati matunda fresh yapo,hujawahi kuona dried banana kwenye supermarket?ulimwengu unabadilika sana!
 
This seems new in our setting but is a very good business for people with good dream and they want to succeed in life, you should look at the business trends and see where the world is going

  • Apple, Personal Computers, 1973
  • Cisco, Telecoms 1987
  • Yahoo! Web Portal 1995
  • Paypal, Online Payments 1999
  • Google, Online Search 1999
  • LinkedIn, Social Media 2003
  • Zappos, Online Retailer 2004
  • Youtube, Video hosting 2005
  • Network Marketing, 2011 During this time it is when network marketing became so popular, now its a professional way of doing business, if you want to know it take you few minutes to go through this website Natural Health and Beauty
 
Back
Top Bottom