Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,754
- 4,746
Rejea mada tajwa hapo juu.
Kunekuwa na wimbi la watu Kadhaa wenye mitaji lakini wanHitaji mawazo ya biashara,mada ya leo inalenga kujadili moja wapo ya wazo la biashara linaloweza kuwafaa wengi.
Zipo namna kadha za kumsaidia mtu kupatA mawazo ya biashara,njia hizo ni Kama zifuatazo:-
-kuhudhuria ktk maonesho ya biashara (trade fairs)
-kuchuka faida(advantage)ya kero husika ktk eneo lako
Hizo ni miongoni mwa njia za kupata mawazo ya biashara,lakini pia zipo njia nyingine pia,tukipata fursa nyingine tutajadili pia.
Leo nataka tuzungumzie biashara ya (dried fruits/vegetables) matunda na mboga za kukaushwa.
Kwa baadhi yetu inaweza kuwa ngeni lakini ni biashara nzuri kwa mazingira ya Tanzania ,zipo machine za kisasa na traditional za kufanya biashara matunda yanayoweza kukaushwa ni mengi tu kuanzia banana,nanasi,papai n.k wanaoishi Dar es salaam wanatambua namna gani matunda kama nanasi yanavyokuwa wasted wakati wa msimu,lakini pia kwa wakulima wanakazimika kuuza mazao(matubda) kwa bei ya chini kwa kuogopa yasiharibike.
Machines hizi zinapatikana na mtu mwenye mtaji wa kuanzia 10 million na kushuka chini hata laki tano aweza kufanya biashara hii,hii ni namna ya kutunza matunda au kuyaongezea thamani bila kutumia kemikali kwa hiyo ni biashara amabayo inakubarika na ulimwengu wa sasa unaoambatana na magonjwa ya saratani kutokana na kemikali za viwandani,ktk super markets nyingi za ulaya biashara hii inakua kwa hapa nyumbani sijajua hali hailsi.
Masoko ya na matunda yaliyokaushwa ni kubwa hapa nyumbani,mashariki ya kati na hata ulaya,tusiache kuendelea kuona matunda yakioza hii ni furs a kubwa.
All the best,mtanisamehe nimeandika kwa ufupi,
"Victory loves preparation"