Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

Fact
 
Mbona hujaweka kundi lisiloegemea upande wowote 😜
 
20k miaka ya 1990 sio sawa na ta leo.
Ila kweli Mkuu Nakumbuka Utotoni ukiwa Na Sh 20 Ni Taita ukiingia kwa Wachoma vitumbua na vibalagala Unakaa kibosi,

Kama hio Ni Sh 20 tu Je 20000 Enzi hizo itakuaje? Huenda leo Ni laki kadhaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…