Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
UNPATRIOTIC! Mng'ang'ana hawajatangaza Corona ipo, Kwani Corona ni kama mwewe au mwizi unaweza kuifukuza kwa mayowe!? Eti hawajatoa takwimu, Hivi tukifanya sensa kila asubuhi nani anaumwa na kutaja kama mafungulio ya wafungwa ndio wanapona?
Tukitaja waliopoteza Maisha hata wa magonjwa mengine tuseme ni corona ili idadi iwe kubwa ndio corona itatuonea huruma iondoke? Tukiwatisha sana watu wakawa na hofu sana ndio corona itakimbia?
Mataifa waliokuwa busy na lockdown, corona imekimbia? Waliokuwa busy na kutangaza vifo na orodha, corona imekimbia? Waliokuwa, wamefanikiwa kitu gani mpaka tuone tuliomtanguliza Mungu tumekosea! ETI HATUMWONI RAIS, MMEKWENDA OFISINI KWAKE MKAMKOSA?
MLIKIWA NA APPOINTMENT NAYE MKAMKOSA?