Wangelala na mtoto usiku wangepelekeana vipi motoMtafutie lodge akalale huko ...! Hiyo mara ya kwanza kwanini hamkumchukua mtoto mkalala nae?
Siku moja bila kupelekeana moto si mbaya mkuu...!Wangelala na mtoto usiku wangepelekeana vipi moto
Safi kabisa,MREJESHO
Kabla ya kupiga msos niliamua kumueleza wife kuwa "uncle" naenda kumlaza lodge na siwez kumuweka rehani cute girl wangu. Wife alikubali kwa shingo upande.
Fasta nikawacheki wadau wa boda waniangalizie chumba logde za uswazi.
Wakati wa kupiga msosi nikaamua kumchana "uncle" jinsi Dunia ilipofikia na maamuz yangu kwa wakat huo. Jamaa kwanza hakuamin kama nampeleka nje kulala kwa kuwa alijua tayar kafika.
Kiufupi, kalala logde ya kawaida sana (Bei kapuni) tofauti na kitambi kinavyomuonesha.
Nashukuru sana kwa msaada wa mawazo yenu. Linda familia yako bila kujali lawama zotakazo tokea
[emoji23][emoji23]Safi kabisa,
Hii ndio inatakiwa kufanywa na kila mzazi ndani ya nyumba,
Ila duuh mlikua na Moyo ile mara ya kwanza, mtoto wa kike tena wa miaka mitano kumlaza na njemba la miaka 30 badala ya kulala nae nyinyi mtoto au kumlaza huyo njemba sebuleni kama sio jikoni kabisa.
Alitaka kumfunga anko tuMtafutie lodge akalale huko ...! Hiyo mara ya kwanza kwanini hamkumchukua mtoto mkalala nae?
Pole mkuu, ila sisi binadamu tuna nongwa sana. Hivi unaendaje kulala nyumbani kwa mtu hata kama ni ndugu wa damu na unajua ana vyumba vya kutosha!?Sirudii kosa hili
Naomba kusamehewa