Mawazo yangu kuhusu mgogoro wa Chelsea Fc na Mshambuliaji Diego Costa

Joined
Jul 2, 2017
Posts
76
Reaction score
28
Baada ya Chelsea kumkosa LUKAKU atakayeenda Man United mda wowote ni vizuri Chelsea kumuomba msamaha DIEGO COSTA na kumrudisha kwenye kikosi cha the blues mabingwa wa EPL Costa ndo mtambo wa mabao uliobakia kwan MORATA na MADRID watataka fedha nyingi za Usajiri
 
Mkuu lakini Morata akija pale si ataziba Gap?? Lakini inaonekana wapo kwenye mazungumzo??
 
Baada ya Chelsea kumkosa LUKAKU atakayeenda Man United mda wowote ni vizuri Chelsea kumuomba msamaha DIEGO COSTA na kumrudisha kwenye kikosi cha the blues mabingwa wa EPL Costa ndo mtambo wa mabao uliobakia kwan MORATA na MADRID watataka fedha nyingi za Usajiri
Costa pamoja na wachezaji wenzie wameumizwa sana na sms ya Conte kwa mchezaji wake muhimu
 
Back
Top Bottom