emiliano jr boy
Member
- Jul 2, 2017
- 76
- 28
Baada ya Chelsea kumkosa LUKAKU atakayeenda Man United mda wowote ni vizuri Chelsea kumuomba msamaha DIEGO COSTA na kumrudisha kwenye kikosi cha the blues mabingwa wa EPL Costa ndo mtambo wa mabao uliobakia kwan MORATA na MADRID watataka fedha nyingi za Usajiri