BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,191
Umeshafeli kabla hata ya kuanza.Wakuu habari zenu.
Tukiwa tunaendelea na mapambano ya maisha. Nimejikusanya, nimepata kiasi Cha 20M, nikiwa na wazo la kuanizsha online TV. Je ni vitu gani muhimu natakiwa kununua na gharama yake ni kiasi gani Hadi lengo kutimia. Au mnaweza kunishauri nifanye biashara gani tofauti na hii kwa huu mtaji. Nimejichanga sana sitaki kukosea na kuja kujuta.
Nawasilisha
Ndio mnipe mawazo, humu tunaweza kushaurianaUmeshafeli kabla hata ya kuanza.
Unakomaa, badae unafanya matangazoMuundo wa iyo biashara ipo vipi?
Kiukweli ni content za michezo na burudaniWewe ulipanga hiyo tv itoe contents gani!?
matangazo ya youtube au kutoka kwa biashara za ndani ya nchiUnakomaa, badae unafanya matangazo
Biashara za ndani ya nchimatangazo ya youtube au kutoka kwa biashara za ndani ya nchi
kwahiyo unaamia kwenye online tv au utakua pia unapiga ishu unayoendelea kufanya.Biashara za ndani ya nchi
nimewah kuanzisha online TV kipind hicho nipo chuo mwaka wa mwisho ..
Nikapambana sana ckutumia ghara kubwa it was almost 300k ingwa channel ilikua haijasajiriwa hiyo pesa karibia 300k ilitumika kufanya advertisements japokua advertisements nilizozifanya hazikua na impacts ispokua nilijifunza na kubuni jia zingne zilizosaidia kukuza hiyo channel mpaka ikafika 10k subscribers kwa mda mfup sana
Sikua na haraka za kurequest na kujiunga na mfumo wa matangazo yaan Google ad's ili nianze kulipwa
Basi bwana nikahitimu chuo nikaenda home mazingira yakawa sio rafik home kijjn hakuna umeme cha pili upatkanaj wa hela ya bando ukawa changoto nikakubwa na ukata no money
Nikaamua niondoke home nije dar kwa rafki angu ambaye ni fundi ujenzi so nikawa napiga mishe za ujenzi huku naendexha online TV
Sadly haikupita week tatu nilienda job kurud nikakuta mlango upo wazi hakuna PC wala smartphone yangu ya kazi
Kwakua online TV haibebeki basi nikaiuza kwa rafikiang mmoja 500k nikaona bora nipange chumba kwanza harafu nitafte hela nianze upya chaajabu kila nikijarbu kupambana angarau nipate lak5 ninunue PC na simu yenye uwezo ngoma inashindikana
But kwa ushauringu nakuomba Fanya online TV sikumoja utakuja kunikumbuka ...online TV ni moja kati fursa kubwa watu bado wamelala hawaelewi ...nikisema nieleze faida zake hapa ntaandika mpaka space itaisha
Kama upo dar 0769146672 naweza nikaja tukapiga story zaidi