Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

espy

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2021
Posts
363
Reaction score
706
DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana..

Wassira kaja na hoja kwamba:

Mkutano Mkuu can do anything.

Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu
- wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO."

View: https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_

Swali Je, unawezaje kuondoa kikwazo ambacho ni takwa la kikatiba ?

This is the evil genius of Julius Kambarage. Kwenye katiba ya chama na ile ya nchi.

Aliweka dirisha dogo (loop hole) linalosema chochote kwenye katiba hii kinaweza kuvunjwa kwa kufuata utaratibu X..Y...Z...

Katiba inakuwa powerless.

Binafsi hawa waliokuja baada ya Julius wala siwaulumu, wanaiga tu. Hakuna mwemye uwezo wa ku reform chochote kibovu alichoasisi Kambarage.
 
Mwanachama wa CCM haujui kapitishwaje/kateuliwaje?

Screenshot_20250129-132945_WPS Office.jpg

Wapinzani mnaangaika sana na mambo yasiyowahusu.

Screenshot_20250129-135120_Chrome.jpg
 
Ikiwa walikuwa na hakika ya mazuri waliofanya, kwanini wawe na hofu ya kupitia katika njia sahihi za kuchaguliwa kama wagombea?

Samia anajua kwa njia ya halali iwe ndani au nje ya chama, hawezi kutoboa.
 
DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana..

Wassira kaja na hoja kwamba:

Mkutano Mkuu can do anything.

Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu
- wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO."

View: https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_

Swali Je, unawezaje kuondoa kikwazo ambacho ni takwa la kikatiba ?

This is the evil genius of Julius Kambarage. Kwenye katiba ya chama na ile ya nchi.

Aliweka dirisha dogo (loop hole) linalosema chochote kwenye katiba hii kinaweza kuvunjwa kwa kufuata utaratibu X..Y...Z...

Katiba inakuwa powerless.

Binafsi hawa waliokuja baada ya Julius wala siwaulumu, wanaiga tu. Hakuna mwemye uwezo wa ku reform chochote kibovu alichoasisi Kambarage.

Acha uzandiki kwa kulaumu Nyerere. Watu wanapoka haki ya wanachama iliyowekwa kwenye katiba kwa uroho kubakia madarakani huku wala hawatumikii wananchi bali maslahi yao binafsi.
 
DEMOCRATIC PROCESS ya CHADEMA imewaabisha sana..

Wassira kaja na hoja kwamba:

Mkutano Mkuu can do anything.

Hivyo, ikawatuma Halmashauri Kuu
- wakati Konde Boy na Zuchu na Ally Kiba wanatumbuiza - waende "KUONDOA VIKWAZO."

View: https://youtu.be/IMpd59VFxqY?si=eOyHa3FW216q-r2_

Swali Je, unawezaje kuondoa kikwazo ambacho ni takwa la kikatiba ?

This is the evil genius of Julius Kambarage. Kwenye katiba ya chama na ile ya nchi.

Aliweka dirisha dogo (loop hole) linalosema chochote kwenye katiba hii kinaweza kuvunjwa kwa kufuata utaratibu X..Y...Z...

Katiba inakuwa powerless.

Binafsi hawa waliokuja baada ya Julius wala siwaulumu, wanaiga tu. Hakuna mwemye uwezo wa ku reform chochote kibovu alichoasisi Kambarage.

Usimtaje Mwalimu Julius K.Nyerere katikati ya wahuni.

Hivi haihitaji hata elimu ya Darasa la tatu kujua kuwa Samia hajawahi kuchukua fomu ya kugombea kupitia CCM .
Samia hakuwa amepigiwa kura awamu ya kwanza .

Sasa ndio alitakiwa aombe ridhaa ya kugombea kupitia CCM na sio kuletwa tu kama vile ni Rais anayeendelea muhula wa pili .

Watanganyika ni wajinga sana na wanawaza starehe na rushwa tu .Ndio maana uchumi wote wa nchi unashika na familia mbili kwa sana tena kutoka Zanzibar .

Zanzibar wapo sirias sana kwenye suala la dini na utawala na mali tofauti na Tanganyika wanakimbizana na rushwa na kuwa machawa wakati nchi inapigwa mnada . Bora Trump wafukuzwe kule Wamarekani maana watu walikosa uzalendo na kukimbilia Marekani .

CCM imepoteza dira kwa babu ya rushwa .
 
Mwanachama wa CCM haujui kapitishwaje/kateuliwaje?

View attachment 3217463

Wapinzani mnaangaika sana na mambo yasiyowahusu.

View attachment 3217498
Naona huelewi maana ya neno "kuchagua". Kuchagua na kuteua ni vitu viwili tofauti. Unachagua kati ya vitu vingi ilà kuteua sio làzima viwe vingi. Rudi darasani ukasome upyà
 
Back
Top Bottom