Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

Mawe yamefika Ikulu, CCM wamtuma Wassira "atueleweshe" Samia kapitishwaje

Mwanachama wa CCM haujui kapitishwaje/kateuliwaje?

View attachment 3217463

Wapinzani mnaangaika sana na mambo yasiyowahusu.

View attachment 3217498
Mkutano mkuu unakuwa umelipata wapi jina la mgombea???
 
Back
Top Bottom