Mawese na Mise

Mawese na Mise

kijana kibonge

New Member
Joined
Mar 6, 2014
Posts
2
Reaction score
0
Habari za humu ndani, naomba mtu mwenye kujua muuzaji or mhusika wa mafuta ya mawese na ya mise anijuze. Nahitaji average ya kilo 200-500 kwa wiki.
 
unahitaji mafuta au yale matunda yanayokamuliwa matunda, kama ni mafuta ni pm nitakuunganisha na mtu anayehusika nayo.
 
kama ni kilo itakuwa anahitaji mbegu za mawese huyu
 
Habari za humu ndani, naomba mtu mwenye kujua muuzaji or mhusika wa mafuta ya mawese na ya mise anijuze. Nahitaji average ya kilo 200-500 kwa wiki.

ffafanu mkuu, unahitaji mawese, na mafuta ya mise (nadhani wanatengenezea sabuni), au unahitaji mise kama mbegu?
 
Ahsante kwa majibu yenu. Nahitaji mafuta ya mawese na mafuta ya mise sio mbegu. Kama mdau alivyosema, nahitaji haya mafuta kwa kutengeneza sabuni
 
ffafanu mkuu, unahitaji mawese, na mafuta ya mise (nadhani wanatengenezea sabuni), au unahitaji mise kama mbegu?
mkuu hayo mafuta yanatengeneza sabuni za aina gani?

zinatengezwaje hizo sabuni aisee?.. nipe direction mkuu kama kuna thread inayozungumzia utengenezaji wa sabuni kwa kutumia mafuta ya mawese...
 
binafsi sijawahi kutengeneza, lakini nadhani ni process rahisi sana kama unataka kutengeneza locally, kama unataka kijasiriamali zaidi wewe tembelea ofisi za sido mkoa wowote ulipo watafurahi kukuelekeza, pia huwa wanatengeneza mashine rahisi.
 
pia kama uko kigoma jaribu kutembelea wakulima wa chikichi wanaweza kukuelekeza kwa watengenezaji wa sabuni asilia, unachukua ujuzi unaboresha. pia google inaweza kukusaidia sana mkuu Excel
 
Last edited by a moderator:
binafsi sijawahi kutengeneza, lakini nadhani ni process rahisi sana kama unataka kutengeneza locally, kama unataka kijasiriamali zaidi wewe tembelea ofisi za sido mkoa wowote ulipo watafurahi kukuelekeza, pia huwa wanatengeneza mashine rahisi.

nashukuru sana mkuu. ntafuatilia hilo suala huko sido.

thanks in advance.
 
Nenda Pale Magomeni Kagera.
Kuna Duka kubwa la watu wa Kigoma wanauza kwa idadi unayotaka panaitwa IBITUNGWA.
Ukishuka Dalala kama unatokea mjini angalia upande ulioshukia utaona maandishi makubwa
 
Back
Top Bottom