kijana kibonge
New Member
- Mar 6, 2014
- 2
- 0
Habari za humu ndani, naomba mtu mwenye kujua muuzaji or mhusika wa mafuta ya mawese na ya mise anijuze. Nahitaji average ya kilo 200-500 kwa wiki.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unahitaji mafuta au yale matunda yanayokamuliwa matunda, kama ni mafuta ni pm nitakuunganisha na mtu anayehusika nayo.
Habari za humu ndani, naomba mtu mwenye kujua muuzaji or mhusika wa mafuta ya mawese na ya mise anijuze. Nahitaji average ya kilo 200-500 kwa wiki.
Habari za humu ndani, naomba mtu mwenye kujua muuzaji or mhusika wa mafuta ya mawese na ya mise anijuze. Nahitaji average ya kilo 200-500 kwa wiki.
mkuu hayo mafuta yanatengeneza sabuni za aina gani?ffafanu mkuu, unahitaji mawese, na mafuta ya mise (nadhani wanatengenezea sabuni), au unahitaji mise kama mbegu?
mkuu hayo mafuta yanatengeneza sabuni za aina gani?
zinatengezwaje hizo sabuni aisee?.. nipe direction mkuu kama kuna thread inayozungumzia utengenezaji wa sabuni kwa kutumia mafuta ya mawese...
binafsi sijawahi kutengeneza, lakini nadhani ni process rahisi sana kama unataka kutengeneza locally, kama unataka kijasiriamali zaidi wewe tembelea ofisi za sido mkoa wowote ulipo watafurahi kukuelekeza, pia huwa wanatengeneza mashine rahisi.
Ahsante kwa majibu yenu. Nahitaji mafuta ya mawese na mafuta ya mise sio mbegu. Kama mdau alivyosema, nahitaji haya mafuta kwa kutengeneza sabuni
manunuzi yako yapoje?nikuletee kutoka mbeya.