Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki.

Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu kitulie Ili nisinunue malonya nyie mawinga acheni ujinga fanyeni kazi Sasa hivi Kila mtu mwenyeji Kariakoo machimbo yote tunayajua
 
Madogo hawapendi kazi ngumu,kila time oya big,kaka,

Tutafute kazi za kufanya vijana uwinga ulikuwa miaka ya 2020 mpaka 2023 mwishoni sikuhizi kila mtu winga.

Huwezi amini sijawahi uza simu ila ukitaka simu ata saizi free delivery unapata tambo.
 
Amini kaka Mimi Kila nikienda kariakoo lazima nijue chimbo jipya la vitu na hii imekua Kwa watu wengi sana Sasa hivi mawinga kazi Yao imekua ngumu hivyo wanavamiavamia tu Kila mtu
 
Uyu ni wewe...
 
Kabisa mzee
 
Eti nisinunue malonya. Kkoo pamba zote ni grade malonya, hupati pamba ya A quality kkoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…