Mjinga mkubwa kweli kweli kwa iyo kama. Ww umestafu huna. Gari wala nyumba ndo unataka kila mtu asiwe na hivo vitu kisa tu we huna.... Hii ni. Roho mbaya mkuu
Biashara kubwa kwenye machine za maxcom ilikuwa kuuza umeme. Kwa commission ya .5% ni hasara. Tena kwa miamala midogo na ambayo ndio mingi, unafilisika mapema. Hata machine za NMB, japo wanalipa .7%, ni shida.
Yaaani awamu hii kila mtu ataguswa kwa wakati wake,watumishi walishaguswa walikuwa bado wafanya biashara hiki ni kiama yaani niwekeze 100,000/= nipate kamisheni ya 500/= dadadeki bora nipige bodaboda