Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,115
- 2,231
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nanitukana pasipo sababu laiti ungekuwa unanijua vizuri hayo maneno ungejirudishia wewe mara 7Mjinga mkubwa kweli kweli kwa iyo kama. Ww umestafu huna. Gari wala nyumba ndo unataka kila mtu asiwe na hivo vitu kisa tu we huna.... Hii ni. Roho mbaya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana tunaendelea kuwa maskini kwa mabo ya kijinga kama hayaYaaani awamu hii kila mtu ataguswa kwa wakati wake,watumishi walishaguswa walikuwa bado wafanya biashara hiki ni kiama yaani niwekeze 100,000/= nipate kamisheni ya 500/= dadadeki bora nipige bodaboda