SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.
Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.
Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.
Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.