Max Nzengeli anaweza kuwa mchezaji mkongwe kuliko wote ligi ya NBC 2023-24

Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.

Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.

Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.

Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.

Na kiwango chake? Unaangalia umri kwani tunatafuta mwali?
 
Katika ligi yetu naweza kusema Skudu peke yake ndio mchezaji ambaye naweza nikashawishika na usahihi wa umri wake.

Skudu alikuwa na uwezo wa kusema ana 24 na hakuna mtu mwenye angekuwa na doubt.

Ila huyu anayeitwa Mzize kuniambia ni under 20 hapana yani, nawaambia tafuteni siku ambayo mpo free tubishane vizuri.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Katika uchunguzi wangu WA AWALI nimeanza kupata mashaka na umri sahihi wa huyu "Polepole" wa Yanga, Maxi Nzengeli. Kuna vitu kadhaa nimevichunguza vinavyonipa mashaka na umri wake sahihi. Nikiangalia mitandaoni wanasema huyu ni "mtoto" wa 2000, yaani eti ana miaka 23.

Kuna watu baada ya game ya Kaizer Chiefs walimtabiria huyu hatadumu Yanga bali atakuja kuuzwa nje. Huyu "mtoto" akipigwa vipimo vya MRI na ma X-Ray huko nje kuhakiki umri wake, Yanga mrarudishiwa mchezaji wenu dakika 0.

Huyu "mtoto" inabidi hata Saidoo akikutana naye amuamkie shikamoo.

Msinirushie mawe bado naendelea na uchunguzi wangu.

Huo uchunguzi wa AWALI uliagizwa na nani uufanye?? Ulilipwa??
 
Back
Top Bottom