Jamaa pamoja na kutocheza mechi za ushindani kwa kipindi kama cha miezi sita kutokana na ligi ya DRC kusimama lakini bado unaona ana kitu.
Jamaa ni mwepesi,ana kasi,ana uwezo wa kumiliki mpira na anajua kutoa pasi za mwisho vizuri sana hili lilikuwa tatizo la mawinga wetu msimu uliopita hasa kwa Tuisila Kisinda alikuwa anaweza kuwatoka mabeki lakini zao la mwisho likawa ni sifuri yani anaweza akapiga krosi njee au kutoa pasi inayofikia miguuni mwa mabeki wa timu pinzani.
Ila mwamba Nzengeli ni mbishi na sio rahisi kupokonywa mipira anajua kupiga kross na pia ni mzuri sana kwa kutoa pasi za mwisho.