Max Nzingeli nimemuelewa

Max Nzingeli nimemuelewa

Right eye

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
1,149
Reaction score
1,994
Jamaa pamoja na kutocheza mechi za ushindani kwa kipindi kama cha miezi sita kutokana na ligi ya DRC kusimama lakini bado unaona ana kitu.

Jamaa ni mwepesi,ana kasi,ana uwezo wa kumiliki mpira na anajua kutoa pasi za mwisho vizuri sana hili lilikuwa tatizo la mawinga wetu msimu uliopita hasa kwa Tuisila Kisinda alikuwa anaweza kuwatoka mabeki lakini zao la mwisho likawa ni sifuri yani anaweza akapiga krosi njee au kutoa pasi inayofikia miguuni mwa mabeki wa timu pinzani.

Ila mwamba Nzengeli ni mbishi na sio rahisi kupokonywa mipira anajua kupiga kross na pia ni mzuri sana kwa kutoa pasi za mwisho.
 
Kikosi kina maingizo mazuri, na kocha kama ameanza kuwatoa wasiwasi wana Yanga kwa aina ya mpira wa Yanga unocheza. Kilichobakia ni kuimarisha tu safu ya umaliziaji kwa kuleta mastraika wawili wengine. Hata mmoja akiwa wa ndani sio mbaya, huyu Mzize hawezi kutufikisha popote.
 
Nilichokiona pale Yanga hakuna first eleven bali kuna vikosi viwili.
Kama mambo yataenda hivi, basi maisha ya wachezaji ndani ya Yanga msimu huu itakua ni vita ya kupigania namba mwanzo mwisho.
Kweli kabisa manake jana kila mchezaji amecheza ili ampe mwalimu wazo la kuanza nae kwenye first eleven yake..
Ngushi Jana kacheza mpira mkubwa sana Gift Fredy pia kaonesha dhahiri anaitaka namba bila kumsahau zawadi mauya jana kaupiga mwingi uku akiwa na confidence kubwa mno.
 
Kikosi kina maingizo mazuri, na kocha kama ameanza kuwatoa wasiwasi wana Yanga kwa aina ya mpira wa Yanga unocheza. Kilichobakia ni kuimarisha tu safu ya umaliziaji kwa kuleta mastraika wawili wengine. Hata mmoja akiwa wa ndani sio mbaya, huyu Mzize hawezi kutufikisha popote.
Sawa kabisa kwasasa tunatakiwa tupate mmaliziaji wa kazi nzuri zinazofanywa na viungo pamoja na mawinga kwa hii Yanga tukipata mshambuliaji mzuri magoli yapo mengi sana msimu huu na pia msonda naona Kama anaanza kujiamini naimani nae akitulia atafunga sana hasa kama chemistry yake na Nzingeli zitaoana.
 
Jamaa pamoja na kutocheza mechi za ushindani kwa kipindi kama cha miezi sita kutokana na ligi ya DRC kusimama lakini bado unaona ana kitu.

Jamaa ni mwepesi,ana kasi,ana uwezo wa kumiliki mpira na anajua kutoa pasi za mwisho vizuri sana hili lilikua tatizo la mawinga wetu msimu uliopita hasa kwa Tuisila Kisinda alikua anaweza kuwatoka mabeki lakini zao la mwisho likawa ni sifuri yani anaweza akapiga krosi njee au kutoa pasi inayofikia miguuni mwa mabeki wa timu pinzani.

Ila mwamba Nzengeli ni mbishi na sio rahisi kupokonywa mipira anajua kupiga kross na pia ni mzuri sana kwa kutoa pasi za mwisho.
Naunga mkono hoja
 
Kweli kabisa manake jana kila mchezaji amecheza ili ampe mwalimu wazo la kuanza nae kwenye first eleven yake..
Ngushi Jana kacheza mpira mkubwa sana Gift Fredy pia kaonesha dhahiri anaitaka namba bila kumsahau zawadi mauya jana kaupiga mwingi uku akiwa na confidence kubwa mno.
Nimefurahishwa sana na Skudu. Pamoja na kuwa entertainer lakini hapotezi mipira na pass zake zina accuracy ya hali ya juu sana.
Halafu kuna Lomalisa Mutambala, huyo jamaa amejimilikisha ule upande anaocheza, kila mpira utakapokuwepo upande ule basi na yeye yupo, na mpira ukitoka upande ule basi ujue umetoka kwake.
Musonda inabidi ajifunze ku save energy, arudishwe kati, asiwe anatokea pembeni. Akitokea kati atakua na nguvu na kasi ya kukimbia na mipira atakayokua anapandishiwa na kupenyezewa na akina Mudahiri au atakayoshushiwa na Skudu , Mutambala na wengineo.
Yanga inahitaji sana mtu wa kumalizia mipira atakayesaidiana na Musonda.
Mzinze yeye naona hana shida, anaifanya vizuri kazi yake ya kuanguka anguka na kuikosakosa mipira kiduuuchu.
 
Eti kujiangusha na kuikosakosa mipira kiduchu😆😆
 
Kuna haja ya kocha Kutenga muda kumfundisha mzize namna gani anatakiwa kuwa mwepesi na namna gani anatakiwa kuangalia goli kutulia na kufunga

Max nzengeli ni farasi wa vita
 
Skudu sio tu kwamba ni fundi wa kucheza na mpira pia ana uwezo wa kumiliki na sio mwepesi kupoteza mipira pia ni mwepesi wa kuanzisha mashumbulizi na anayo maamuzi sahihi akienda hivi tutakua tumetatua shida za mawinga.
 
Kuna wenzako watanuna kwa hiki ulichokiandika hapa. Hata kama kina ukweli.
Kununa ni lazima, maana show ya Jana imezima propaganda za kibegi na usajili wa reject kutoka Al Ahaly, kwa kiwewe cha Jana leo gumzo ni ubora wa vikosi viwili vya Yanga, makolo wanatapatapap wanataka watangaze mchezaji mwingine leo wanadhani wanaweza kuuzima huu upepo wa Yanga.
 
Back
Top Bottom