Maxence Melo apewe PhD ya heshima

Maxence Melo apewe PhD ya heshima

Kidagaa kimemwozea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
3,680
Reaction score
6,554
Ni bahati mbaya sana kwa vyuo vya nchi zetu hizi kuangalia zaidi wanasiasa na matajiri wakubwa na kuwagawia heshma hii kuliko kuangalia watu wenyemchango mkubwa mahususi katika jamii pana.

Kwa wenzetu mfano Harvard & na Oxford hutazama zaidi watu wenye mchango mkubwa katika tasnia flan, au utofauti mkubwa katika ufanyaji wajambo lenye Tija kwa jamii. Mfano wawatu waliotunukiwa hesma hii ni Muasisi wa Microsoft , Gates, nq Yule Luciano yule muitaliana wa opera min.

Kwanini Maxence apewe?
Nani asiyejua mapinduzi ya habari za kidigital Tanzania yameletwa na Jamiiforum?

- Unajua JamiiForums ni jukwaa pekee la kitanzania linaloruhusu watumiaji wake kutoka kutoka maoni huku likijitahidi kulinda privacy ya watumiaji wake?

- Anajua ndio Ndio mtandao wenye machapisho mengi zaidi kutoka Tanzania?

- Anajua hakuna mahali palipoandikwa kwa kiswahili mtandaoni maranyingi kama jamii forum?

- anyway nahisi kuna mengi ambayo bado siyajui kuhusu Huu mtandao lakini kwa hayo machache yanaweza kuwa sifa za heshma hiyo.
Mwisho, Haya nimaoni yakibinafsi.
 
KABLA HAJAPEWA PhD awafute kazi moderators wooooote ambao huwa wanafuta nyuzi za watu bila sababu za msingi.

Yaani umejipinda masaa mawili kuandika uzi halafu mtu anafuta kiurahisi tu.
 
KABLA HAJAPEWA PhD awafute kazi moderators wooooote ambao huwa wanafuta nyuzi za watu bila sababu za msingi.

Yaani umejipinda masaa mawili kuandika uzi halafu mtu anafuta kiurahisi tu.
Halafu tukale wapi boss? Hatufuti uzi bila sababu ya msingi.
 
Back
Top Bottom