Tena si kidogoAiseeeeeee hatari sana.
Watavamia wangapi???
Weka linkNimeona bandiko la maxence IG akisema kuwa kuna uvamizi umefanyika Ofisi za JF
Onho, okayUldhani umejificha?
Heshima ni kitu cha bure Siasa siyo uadui
Kumekucha ngoja nikae mkaoHope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...