Kabadilishe pempasi dogo.Sisiem mwisho wao umefika haisaidii
Hahahah mnakimbilia wapi?Hope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Unasema anayesakwa n Melo Afu hapo hapo unasema mwenye taarifa kamili ailete, sasa Ww hizo taarifa za melo umepata wapi?Inadaiwa anayesakwa ni Melo.
Mwenye Taarifa kamili ailete hapa haraka
Vita na kali sana bro ila kwa imani tutashinda
Shetani hana aibuHakuna ukwel wowote juu ya hili
Vita na kali sana bro ila kwa imani tutashinda
This is not good 😡😣
Watu walianza kumbeza ila kwa hili analud kwenye game...Ameshajizolea points 3 ugenini
Na sio muda wataumbuka🤣🤣Shetani hana aibu