Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 33,952
- 56,156
Policcm wanahangaika sanaMsiogope JF wala msifute post hapa acheni tuteme nyongo pole sana max kwa kilichotokea ofisini kwenu
Policcm wanahangaika sanaMsiogope JF wala msifute post hapa acheni tuteme nyongo pole sana max kwa kilichotokea ofisini kwenu
Hakuja cha jamii chek page rasmi ya Melo ndo imepostngoja JAMII CHECK watujuze
Unataka Ilaaniwe?How?
Mungu wangu
Nisubiri tuondoke woteNgoja ni log out
Kama tulivuka kipind cha magu hata hichi tutavuka tuu 😃Ila tuwe makini Melo nae ni binadamu kuna sehemu akibanwa kutuchoma ni sekunde 0! Kama namuona CHIEF PRIEST atakavyobebwa juujuu
Maadui wa JF mmefahamika kitamboUtajinyea bure wewe jiulize
USSR
...nami niko nyuma yako usiniache💃💃💃Nisubiri tuondoke wote
😂😂😂Zile silaha alizoingiza Abdul zimeanza kufanya kazi sasa
Hawawezi kwani walishindwa toka enzi za Jiwe. Jamaa wanajifurahisha tu.Serva iko wapi