Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
britaniccaMsiogope JF wala msifute post hapa acheni tuteme nyongo pole sana max kwa kilichotokea ofisini kwenu
britaniccaMsiogope JF wala msifute post hapa acheni tuteme nyongo pole sana max kwa kilichotokea ofisini kwenu
Inasemekana iko USA.Serva iko wapi
Na wanamtaka huyo huyo brittanicaNdio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
Wahuni sio watu wazuri mkuu!Nasikitika sana kuona haya yanatokea chini ya kiongozi Mwanamke!
Ni nan huyubrittanicca
😧😧😧😧😧No no no.Wanarudi enzi za 2006 za JK. Ninajua kisa ni JF kuendelea kupost kwa uhuru .JF hawajafungwa midomo kama walivyofungwa Millard Ayo na wengine.Yaani Abdul ni muuaji sana.Halafu ninasikia kabla mama yake hajawa Rais ,Abdul alikuwa anauza matairi kariakoo.
Nahisi hivyoAu ndo britanicca alitaka kunyetisha? 🤔
🤔🥺🤔🥺🤔Au ndo britanicca alitaka kunyetisha? 🤔
🤔🥺🤔🥺🤔Au ndo britanicca alitaka kunyetisha? 🤔