Unaambiwa jamiicheck wametupa laptops na kukimbia kusikojulikanangoja JAMII CHECK watujuze
nime ona, huenda ali taka kumtonya juu ya uvamizi huo.Alimuita Melo inbox.
Utajua hujui😂mbona tunapost bado...wakivamia wanakata kila kitu au wanatafuta majina
Sawa keyboard fighter 😂Hakuna kuogopa tuendeleze mapambano, jamii forum ndiyo sauti yetu wanyonge, kwani watatufikia wangapi?
Unaambiwa jamiicheck wametupa laptops na kukumbia
Acha kunichekesha msibani 🤣nime ona, huenda ali taka kumtonya juu ya uvamizi huo.
Ila nimesha chukua manati, incase ya ugeni usio mwema.
Hayo majina halisi wanayatoa wapi? Wewe ni wapi uliandika majina halisi huku Jf?
Siasa za Africa ni uadui na Chuki sema hizi siasa za Tanzania ccm imefanya ziwe za chuki na uadui na kuuanaUldhani umejificha?
Heshima ni kitu cha bure Siasa siyo uadui
ukiona hivi ujue anguko lipo karibuKuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni
View attachment 3465608
Hahahhah huyu yupo na lisuIli tukurasimishe rasmi kuwa nyumba ndogo ya Mbowe.