Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi
..
Nalaani vitendo kama hivi, ila umma utaujua ukweli hivi karibuni

View attachment 3465608
Msiogope tuendelee kushikamana
IMG_7963.jpeg
 
Ila kila lenye mwanzo lina mwisho,mungu ainayeishi atasimama na watanzania siku moja dhidi wadhalimu na mafisadi wa nchi hii,,wanachi hatuna uhuru wa kijieleza wala kuchagua viongozi tunaowata,ccm pumbavu zenu mlaaniwe.
Samia hoyee sasa mlikuwa mnatukana ili iweje kwani uhuru wa habari ndio uhuru wa kutukana

USSR
 
Comrade, serekale ina mkono mrefu. Usiseme hivi. Mimi muda huu nipp napandisha milimani juu kabisa huku kwenda kujificha, na wakati sina kosa lolote lile! Yaani ni hofu tu hapa ndiyo imenijaa.

Nikiwaza kuikosa pombe, nyama choma, watoto wazuri, nk. Naona hili jambo haliwezekani kabisa.
Ahaaaa , watusamehe tu hatuna hatia
 
Maxence Melo jf inabidi iwe na sheria ya no-log IP address ...
Hakuna ku record IP address za wateja wenu..

Tayari VPN kama Nord VPN na ProtonVPN wanafanya hivyo.. msikubali kutoa IP address za wateja..

Jf wekeni kwa mkazo sheria ya no-logs policies...
Wameshachelewa....labda Mike akimbie USA akazime server za JF
 
Back
Top Bottom