Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Kha! Wewe jamaa hata huna hofu! Umeambiwa ofisi zimeshavamiawa, na usikute akina Active, Moderator, na wenzao wako chini ya ulinzi na pia kwenye shinikizo la kutakiwa kutoa taarifa za watu! Halafu wewe bado unatoa maneno mbofu mbofu!

Huu ni muda wa kumuomba radhi, kumlamba miguu na kumpigia magoti kabla mambo hayajaharibika kabisa!
Hahahhaha kama mazuri lile

Samia Suluhu Hassan hoyee Octoba tunatiki

USSR
 
Maxence Melo kama hauko upande wa serikali, mara moja kuanzia sasa waambie wafanyakazi wako wafanye data masking and anonymozation ya taarifa zote ambazo ni PII (Personally Identifiable Information).

Data zote za Jamiiforums, zihamishe kwenye servers za Ulaya, data zote zitakuwa chini ya (GDPR ya EU), Jamii forums haikusanyi data za Goverment issued IDs kwa hiyo sio shida kwenye data protection act.

Ukifanya hivi serikali ya Tanzania inakuwa haina uwezo wa Kisheria wala kimamlaka kukushitaki au kutaka taarifa za watu wake, wakitaka kukupata taarifa watatakiwa kufungua kesi kwenye nchi ambayo utakuwa umehamishia taarifa, kitu ambacho wao watatikiwa kuwa na kibali cha mahakama ya huko, hilo hawana uwezo nalo
Kwamba muda huu ndio afanye hivyo

USSR
 
Kuna ‘uvamizi’ usio rafiki uliofanyika muda sio mrefu katika ofisi za JamiiForums, Mikocheni jijini Dar wakinitafuta mimi

Hili ni shambulio dhidi ya uhuru wa kuzungumza, kupeana elimu ya uraia, na masuala kibao ya kuwezesha raia kuwa watu huru wenye taarifa sahihi za kuwawesheza kupata maendeleo ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kijiopolitiki

Wanataka watu wasiwe na ufahamu au kuwa watu huru.
 
Ila kila lenye mwanzo lina mwisho,mungu ainayeishi atasimama na watanzania siku moja dhidi wadhalimu na mafisadi wa nchi hii,,wanachi hatuna uhuru wa kijieleza wala kuchagua viongozi tunaowata,ccm pumbavu zenu mlaaniwe.
 
Back
Top Bottom