Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,788
- 113,025
Mimi hua namzingatia sanaSome time tuna muignore britanicca bila sababu aisee.
Mimi hua namzingatia sanaSome time tuna muignore britanicca bila sababu aisee.
Mjukuu wangu, wewe siyo mmoja wa hao wafuasi! Mbona kama Babu yako nimeanza kushikwa na hofu! Haya mambo ya kuvamia ofisi nyeti kama za jamii forums zina afya kweli kwa mustakabari wa uhuru wa watu kutoa maoni!Britanicca na wafuasi wake wanatafutwa
Babu! Mimi sio mmojawapo ila kuna huyu Ushimen ndio alikua anaongozana nae kwenye kila uzi🤣Mjukuu wangu, wewe siyo mmoja wa hao wafuasi! Mbona kama Babu yako nimeanza kushikwa na hofu! Haya mambo ya kuvamia ofisi nyeti kama za jamii forums zina afya kweli kwa mustakabari wa uhuru wa watu kutoa maoni!
Nakusubiri babes, tusepe kabla hakijanuka 😂...nami niko nyuma yako usiniache💃💃💃
38mins max kapost, na kabla ya hapo aliitwa inbox 🤔🤔🥺🤔🥺🤔
Sasa kwani melo ana shida gani!Mimi hua namzingatia sana
HapanaIntelligent businessman Uzi wa Britanicca uliuona?
Huyo ndio jasiri muongoza njia....HALIPINGIKIHahaha walisema eti Dkt Magufuli alikuwa mubaya na dikiteta na muuaji hahaha now wale killers ndiyo wanajulikana. Tuliwaambia Dkt Magufuli alikuwa anahujumiwa na walimhujumu wakampa jina la uuaji na later wakamuua
Lazima kuna sababu atakuja kusema mwenyeweKwanza natoa pole kwa taarifa hizi. Pili kwa nini taarifa toka mmiliki wa jf zitolewe kwenye platform nyingine na sio jf?
Kha! Wewe jamaa hata huna hofu! Umeambiwa ofisi zimeshavamiawa, na usikute akina Active, Moderator, na wenzao wako chini ya ulinzi na pia kwenye shinikizo la kutakiwa kutoa taarifa za watu! Halafu wewe bado unatoa maneno mbofu mbofu!CHURA a.k.q Dalali unatuonea watanganyika kwenye nchi yetu. Ww kwenu zenji sw sepa zako.
Kazi ni kipimo cha utu
Alimuita Melo inbox.Hapana