Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Kwa sasa Serikali na Kile kikundi cha Wahuni wanatafuta yoyote atakae iandama Serikali kwa kuikosoa na haisifii , wako kwenye msaki mkali wa Pole Pole lakini wakati huo huo wakimtafuta kwa njia zote Max wa JF.
Nakumbuka kipindi cha Uchaguzi 2015 Marehemu Lowasa alimtafuta Max kwa gharama yoyote ile na baada ya Kukwama walitaka kumuua na vilishindikana vyote JF ikapeta japo ilipitka misuko suko ya mashambulizi kimtandao na kua down kwa mda flani , kwa awamu hii wanapanga njama za kumteka ama kumwondoa kabisa kupitia genge lile lile la Mboga Mboga na wale waliotaka kumuua yule dogo Sativa. So alie karibu na Max amwambie mtindo nikasema ule ule "trust no one"
Kakosa nini kwani Max wa watu?
 
WANASEMA WAVAMIZI WAMEOMBA MAJINA HALISI YA WANACHAMA WA JAMII FORUM NA WAMEYAPATA.KILA MMOJA ATAFIKIWA KWA MUDA WAKE KUTOKANA NA COMMENTS ZAKE.HATA MSIGWA ALISEMA LAZIMA KILA MMOJA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII ATAFIKIWA NA SERIKALI.WATEKAJI WATATUMALIZA MWAKA HUU.TULIJUA HUMU TUMEJIFICHA KUMBE HAMNA KITU.
Kwahiyo kwa akili zako zote ulijua humu umejificha mkuu😂😂😂 watu wanaojificha wako zao huko kwenye dark web sio humu, na hata huko dark web wakikuvutia soksi juu wanakupata tu.
 
Back
Top Bottom