johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
😂😂✔️Me nimeona ya mwandishi wa EATV kupigwa na maofisa wa UDART
😂😂✔️Me nimeona ya mwandishi wa EATV kupigwa na maofisa wa UDART
wanataka details zetuWhat is going on? Mwenye updates tunaomba
Ameshajizolea points 3 ugeninibritanicca what is going on mkuu dakika kadhaa hapa umemwita Melo PM
Maadui wa JF mmeanza kujianikaUldhani umejificha?
Heshima ni kitu cha bure Siasa siyo uadui
Naona unavyotetemekaMungu ibariki JF
Sijawahi kuogopa loloteNaona unavyotetemeka
Hakuna uadui bwashee ila tu Heshima ni kitu cha bureMaadui wa JF mmeanza kujianika
Heshima kwa wasiojiheshimu ni kituganiHakuna uadui bwashee ila tu Heshima ni kitu cha bure
Ushanakiliwa tayari, na mtaendelea kujianika wenyewe, jf imewapa nafasi ya kuandika upuuzi wenu leo kuvamiwa mshaanza kuiombea mabaya, Waafrica ni Aibu sana!Hakuna uadui bwashee ila tu Heshima ni kitu cha bure