Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

wanadeal na Ip Address & Location so hapo lazima wanase wengi. maana location zetu ni moja ya mbinu moderator wanazitumia kujua mtu mwenye multiple ID afu anatumia vifaa tofauti
Mpaka wapate access kutoka Kwa ISP .. SASA JE Internet service providers wetu .. Si wapi chini ya hawa Jamaa .. so hata umiliki wa Hii Mitandao ya simu Kwa baadhi ya wanamtandao Kuna uwezekani wa kuwa na veto power juu ya hili ?
 
Inategemea retention period ya hizo IP ndio maana nimesema hapo juu Maxence Melo mara moja wafanya data anonymization za PII
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…