Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

Maxence Melo kama hauko upande wa serikali, mara moja kuanzia sasa waambie wafanyakazi wako wafanye data masking and anonymozation ya taarifa zote ambazo ni PII (Personally Identifiable Information).

Data zote za Jamiiforums, zihamishe kwenye servers za Ulaya, data zote zitakuwa chini ya (GDPR ya EU), Jamii forums haikusanyi data za Goverment issued IDs kwa hiyo sio shida kwenye data protection act.

Ukifanya hivi serikali ya Tanzania inakuwa haina uwezo wa Kisheria wala kimamlaka kukushitaki au kutaka taarifa za watu wake, wakitaka kukupata taarifa watatakiwa kufungua kesi kwenye nchi ambayo utakuwa umehamishia taarifa, kitu ambacho wao watatikiwa kuwa na kibali cha mahakama ya huko, hilo hawana uwezo nalo
Wahuni wapo ahead kama wamefanya ambush maana yake hakuna muda wa kufanya yote hayo
 
Back
Top Bottom