political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,951
- 6,399
😂😂😂😂Unabondwa kulingana na wingi was post zako za kudiss.
Wewe juzi umeshusha liuzi lirefu mno kuhusu kuoondea juhudi za kilimo.
😂😂😂😂Unabondwa kulingana na wingi was post zako za kudiss.
Wewe juzi umeshusha liuzi lirefu mno kuhusu kuoondea juhudi za kilimo.
Umejuaje☺️😂Ndio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
App kama hizi watu wanatumia throwaway au burner email. sasa wewe unatumiaje email ambayo ume verify? huo ni uzembe ukamatwe tuLakini ulitumia email ambayo ilifuata process zote muhimu kusajiliwa, so kupitia hiyo email, ukihitajika utaitwa😅😅
Kila mabaya yana mwisho wakeSisiem mwisho wao umefika haisaidii
Na haya ndo madhara ya kuanzisha TASK FORCE kihuni kama alivyo tutahadharisha Bw, Malcom Lumumba.Tujiandae kubanwa mbup* sasa 😅😅
Hofu iliyokujaa na twisheni yako kwa Genta 🐼✔️Nipaniki kwa kipi Wewe kidada poa??
Ndo nyie mnataka mabadiliko halafu mnakua waoga waoga hivi?Hope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Nitoe elimu kidogo nje ya Tanzania hasa Ulaya na Marekani inavofanyikaHivi hawawezi kuweka hata dakika chache kwa ulinzi zaidi?
Dah 😂 😂 😂 😂Unaambiwa jamiicheck wametupa laptops na kukumbia kusikojulikana
🤪🤪🤪🤪🤪😀😀😀😀😀
Sio rahisi hata kwa serikali ya marekani🤣. Hawawezi kujua your exact location kwa kutumia IP address. Eti iwaoneshe sijui mtaa sijui jengo unaloishi Sio kweli.Hiyo ni Kwa MTU wa kawaida lakini kwa serikali ni rahisi sana
Hope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Moderator piga life ban hii takataka.Afadhali, umezidi kuwaachia members wanaomtukana rais, nimefurahi sana yaani
Sitaki shida na mtu Mimi🙌🏿🙌🏿🙌🏿🤪🤪🤪🤪🤪