MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Ninalaani hiki kitendo kama ni kweli.
Wewe ndugu yetu upo salama kabisa.Ninalaani hiki kitendo kama ni kweli.
We Joni, umekuwaje?Mbona wewe hujauawa? 🐼✔️
Tutasema ukweli mpaka mwisho, usidhani kila mtu ni chawa.Afadhali, umezidi kuwaachia members wanaomtukana rais, nimefurahi sana yaani
Sawa kaka.Difficult to guess🤔
Kheee..!! Akaunti imehakiwa.Ninalaani hiki kitendo kama ni kweli.
Madako yakoUldhani umejificha?
Heshima ni kitu cha bure Siasa siyo uadui
N'kwei N'gosiHope hujatoa pasword mkuu...
Vinginevyo utwambie map3ma tujue pa kukimbilia...
Iko wapi?Ndio Maana brittanicca alitaka kumtonya maana alimwita Pm
Unalaani wapi chawa weweNinalaani hiki kitendo kama ni kweli.
Kwamba mmoja aende akachungulie?😂Aliyepo jirani na head office Mikocheni,tunaomba atupe update zaidi
Sasa wanawatafuta wanaomsema mama vibaya,Tena wanaupiga mwingi TL yuko jela
🙏🏿🙏🏿🙏🏿 pamoja naweSawa kaka.
Heshima yako.
Mnapenda sana kutafuniwa.Iko wapi?
Max si muhayaHuyo mmiliki wa jf max some time huwa ni kiburi sana ana dharau sana member wa JF
Ndio😔Kwamba mmoja aende akachungulie?😂